Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Geay avuna Sh30 milioni Berlin Marathon akimaliza wa tatu

GEAY Pict

Muktasari:

  • Geay ametumia muda wa saa 02:03:59 huku kinara akiwa ni Adola Guye wa Ethiopia.

Mwanariadha nyota wa Tanzania wa Marathon, Gabriel Geay amevuna kiasi cha Sh30 milioni kwa kumaliza katika nafasinya tatu kwenye mbio za Berlin Marathon zilizofanyika leo Jumapili, Septemba 27, 2026 huko Ujerumani.

Geay ametumia muda wa saa 02:03:59 huku kinara akiwa ni Adola Guye wa Ethiopia.

Guye ametumia muda wa saa 02:02:50 na nafasi ya pili imeshikwa na Muethiopia mwenzake, Diriba Dida aliyetumia saa 02:03:19.

GEA 01

Mshindi Guye atapata kitita cha Euro Euro Euro 10,000 (Sh30.2 milioni) na Dida aliyeshika nafasi ya pili ataondoka na kiasi ha Euro 15,000 (Sh45.3 milioni).

Morocco wameibuka kidedea katika mbio za Berlin Marathon Wanawake wakiwakilishwa vyema na Zeroual Oussama aliyeibuka mshindi.

Mwanariadha huyo ameshinda baada ya kukimbia kwa saa 02:10:09.

GEA 02

Bendera ya Zimbabwe imepeperushwa vyema katika mbio hizo baada ya Zimuto Tendai kumaliza katika nafasi ya pili wanawake akitumia muda wa saa 02:10:27.

Nafasi ya tatu kwa wanawake imwshikwa na Sang Erick wa Kenya aliyetumia muda wa saa 02:10:31.