Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Faili la Yanga CAS kutibua kikao cha dabi Dar?

Muktasari:

  • Simba ilidai makomandoo wa Yanga waliwakatalia kuingia uwanjani kwa ajili ya mazoezi siku moja kabla ya mchezo kama kanuni zinavyoelekeza ndipo wakatoa taarifa rasmi kwa Bodi ya Ligi Kuu na TFF, hawatoshiriki mchezo huo kwa sababu haki yao ya kufanya mazoezi kabla ya mechi ilikuwa imekiukwa, kama ilivyobainishwa katika kanuni za Bodi ya Ligi.