Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Fadlu: Mastaa Simba waliitaka Dabi

Muktasari:

  • Fadlu alisema kuahirishwa kwa dabi kulifanya wachezaji kushuka morali, lakini alifanya kazi ya ziada kuwarejeshea morali kwa kuwajenga kisaikolojia na anashukuru kuona wamepata matokeo mazuri katika mechi hiyo ya Kombe la Shirikisho, moja ya makombe matatu yanayowindwa na timu hiyo.