JKT Queens yatuma ujumbe Simba, Mashujaa KOCHA msaidizi wa JKT Queens, Azishi Kondo amesema ushindi dhidi ya Yanga Princess umeongeza hamasa kwa kikosi hicho katika mbio za kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake, lakini akasisitiza...
Yanga princess yamrejesha Igwe YANGA Princess imemrejesha aliyekuwa beki wake wa kati, Igwe Uzoamaka, ambaye mwishoni mwa msimu uliopita aliaga kupitia mitandao ya kijamii baada ya mkataba wake kumalizika.