Namba mpya zaipa Arsenal ubingwa EPL MECHI za raundi ya 10 za Ligi Kuu England zilitoka na jipya; Arsenal kwa sasa ndio mabingwa watarajiwa wa Ligi Kuu England, wakipewa zaidi ya asilimia 70 kutetea ndoo waliyotwaa msimu uliopita.