Straika Geita Gold amtaja Chirwa MSHAMBULIAJI wa Geita Gold, Maulid Shaban amesema kucheza timu moja na Mzambia Obrey Chirwa ni jambo nzuri ndani ya kikosi hicho, ingawa ni changamoto pia kwake, kutokana na ushindani wa nafasi.
Yanga Princess kitendawili cha ubingwa kila msimu MIONGONI mwa mambo ambayo mashabiki wa Yanga wanatamani kuyaona ni timu yao ya wanawake, Yanga Princess ikifanya vizuri na hatimaye kuvunja ukimya wa kutobeba ubingwa wa ligi.