Acha inyeshe tuone panapovuja UTAMU wa Ligi ya Championship unaendelea kushika kasi na baada ya jana Ijumaa kuchezwa mechi tatu za raundi ya nane, ila nyingine tatu pia zitapigwa leo Jumamosi, huku zingine mbili kali...
SOWETO DERBY; Orlando, Kaizer Chiefs kinapigwa LEO, Jumamosi mashabiki wa Orlando Pirates na Kaizer Chiefs watakuwa wanaziombea mema timu zao katika mchezo wa Dabi ya Soweto unaopigwa kwenye Uwanja wa FNB uliopo Johannesburg, Afrika Kusini...