Kauthar anavyotembea na taarabu ZILIPITA siku ambazo Taarabu ilionekana kusubiriwa zaidi na watu wa kizazi fulani, lakini sasa sauti yake inarudi mitaani, safari hii ikiwa na ladha inayowagusa zaidi Gen Z.