Nani bado anamtaka Sterling Ulaya? KATIKA ulimwengu mwingine, ambako maisha ya wachezaji yangechukua mwelekeo tofauti, Raheem Sterling angekuwa sehemu ya kikosi cha England sasa, akicheza chini ya kocha Thomas Tuchel, ambaye...
Simba yakwepa lawama mauzo tiketi za Dabi Wakati hadi sasa tiketi za mechi ya Ligi Kuu ya Watani wa Jadi, Simba na Yanga zikiwa hazijaanza kuuzwa, wenyeji wa mechi hiyo ya Ligi Kuu, Simba wamejivua mzigo wa lawama.