Hamtuwezi; JB, wenzake walivyoitambia Yanga, Nature adai haijaisha USHINDANI wa Simba na Yanga hauishii kwenye dakika 90 za mechi pekee, bali huendelea pia kwenye midomo ya mashabiki, wakiwemo wasanii wanaozitumia timu hizo kama sehemu ya burudani yao.