MDINGI RICH: Ndoto zake hazijazimwa na maisha KUNA wakati maisha yanamlazimisha mtu kuweka pembeni kitu anachokipenda ili apambane na hali halisi iliyopo. Hata hivyo, kwa baadhi ya watu, kufanya hivyo hakumaanishi wameachana na ndoto zao.
Simba kurudia ilichofanya 2009/10 CAFCL? MASTAA wa zamani wa Simba wamezungumzia mwenendo wa timu hiyo wakiamini rekodi iliyowekwa msimu wa 2009/10 inaweza kujirudia huu, endapo wachezaji wataamua kukaza hadi mwisho.