Nairobi kuandaa mbio za Dunia 2029, yazibwaga London, Rome Jiji la Nairobi limeandika historia mpya katika riadha duniani baada ya kuchaguliwa kuwa mwenyeji wa Mashindano ya Dunia ya Riadha ya mwaka 2029 na hivyo kuzima ndoto ya London (England) ya...