Masai; Meneja, mchezaji mwenye vyeti uwanjani MWENYE mbili havai moja. Ni msemo unaoweza kutumia kuelezea majukumu anayofanya mchezaji wa Ken Gold, Charles Masai akitumika kuongoza na kucheza soka kwa wakati mmoja.
PRIME Chuma alivyowaacha Diarra, Kassali Ligi Kuu WAKATI mashabiki wakiwatazama makipa wa Simba, Djibrilla Kassali na Yanga, Djigui Diarra wanaofanya vizuri, lakini takwimu zinaonyesha kuna wengine wanaofanya vizuri zaidi.