Mastaa Bongo wanavotoa albamu kwa kujipima ubavu Kila mara wanamuziki wa Bongo Fleva wanatoa albamu na Extended Playlist (EP) kwa ajili ya mashabiki wao, na mwishowe wapate fedha kutokana na mauzo hasa ya mtandaoni.