Simba yaichakaza Mighty Wanderers, yatinga raundi ya pili kibabe SIMBA haina utani. Imefanikiwa kuitafuna Mighty Wanderers kwa ushindi wa mabao 6-1 ikitinga hatua ya pili ya mtoano wa Ligi ya Mabingwa Afrika.
KVZ yatupwa nje CAF ikichapwa 3-0 nyumbani ASSWEHLY SC imefanikiwa kutinga hatua ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada kuondoka na ushindi wa mabao 3-0 katika ardhi ya Zanzibar katika mchezo wa marudiano dhidi ya KVZ uliochezwa leo...
Singida Black Stars yafuzu kibabe CAFCC ikishinda 10-1 SINGIDA Black Stars imefuzu hatua ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kishindo baada ya kuiondosha Al-Ghazal FC ya Sudan Kusini kwa jumla ya mabao 10-1 katika mechi mbili za raundi ya...