Sababu za kinywa kunuka, zingatia haya Unaweza kuvaa nguo za bei ghali, kupaka marashi yenye harufu nzuri na kuhakikisha mwonekano wako umekaa nadhifu, lakini unapofungua kinywa na kutoa harufu mbaya, mambo yanaweza kubadilika ghafla.