Singida BS yamvalia njuga Sowah SINGIDA Black Stars imeamua kupitia tukio lililosababisha mshambuliaji wake, Jonathan Sowah, kuonyeshwa kadi nyekundu dhidi ya Dodoma Jiji FC huku Kamati ya nidhamu ya klabu hiyo ikitarajiwa...
Hamtuwezi; JB, wenzake walivyoitambia Yanga, Nature adai haijaisha USHINDANI wa Simba na Yanga hauishii kwenye dakika 90 za mechi pekee, bali huendelea pia kwenye midomo ya mashabiki, wakiwemo wasanii wanaozitumia timu hizo kama sehemu ya burudani yao.