Le Blues wanavyotua kambini wakishindana nje ya uwanja TIMU ya taifa ya Ufaransa chini kocha mpya Zinedine Zidane imeshaanza kukusanyika kambini tayari kwa ajili ya mashindano ya Ligi ya Uefa (Uefa Nations League) inayopigwa katika kipindi hiki cha...
Mtihani wa Ngorongoro AFCON U-20 TIMU ya Taifa ya Tanzania chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, imefanikiwa kukata tiketi ya kushiriki Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Vijana (AFCON U-20) mwaka 2027 zitakazofanyika nchini...