Konde Boy albamu yes! Video chache
Licha ya albamu yake pili, High School kuwa na nyimbo 20, Harmonize ameshindwa kufikia hata asilimia 50 ya kufanya video za albamu hiyo iliyotoka Novemba 5, 2021 na kushirikisha wasanii sita.