Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Dully Sykes amtaja Alikiba King wa Bongo Fleva

DULLY Pict

Muktasari:

  • Kwa miaka mingi, Dully Sykes amehesabika miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva, huku akitambulika kwa mchango wake mkubwa katika kukuza ta

MSANII mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva, Abdul Sykes maarufu kama Dully Sykes, amethibitisha wazi Alikiba ndiye mfalme wa muziki huo, na si mtu mwingine.

Akizungumza baada ya kuulizwa kama yeye ndiye King wa Bongo Fleva, Dully Sykes alionekana kushangazwa na swali hilo huku akitabasamu.

DUL 01

“Hapana, mimi sio Mfalme wa Bongo Fleva. Mimi ni muasisi wa Bongo Fleva. Mfalme anajulikana, Watanzania wote wanajua King ni Ali Kiba,” amesema Dully Sykes.

DUL 02

Kwa miaka mingi, Dully Sykes amehesabika miongoni mwa waanzilishi wa muziki wa Bongo Fleva, huku akitambulika kwa mchango wake mkubwa katika kukuza tasnia hiyo.