Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wakazi wa Mbagala kuishuhudia Yanga Chamazi

Muktasari:

Mechi hiyo itakuwa ndiyo mara ya kwanza kwa kikosi cha Jangwani kucheza kwenye uwanja huo usiku tangu uanzishe.

Dar es Salaam. Kikosi cha Yanga kitashuka Uwanja wa Azam Complex Chamazi Jumamosi usiku kuikabili Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu.
Mechi hiyo itakuwa ndiyo mara ya kwanza kwa kikosi cha Jangwani kucheza kwenye uwanja huo usiku tangu uanzishe.
Mechi zingine zitakazopigwa Jumamosi ni Stand na Ndanda, Mbeya City na Mtibwa Sugar pia Kagera Sugar na Lipuli.
Simba watakuwa na kibarua mbele ya Majimaji wakati Singida United watakutana na Prisons.
Mechi zingine zitachezwa keshoktwa Ijumaa, ambapo Ruvu Shooting watakutana na Mbao FC wakati Mwadui watavaana na Njombe Mji.