PUMZI YA MOTO: Eric Cantona kipaji cha soka safi na domo chafu
NYOTA wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Cantona, amerusha jiwe kwa nchi yake akiliponda soka la nchi hiyo kwamba halina mvuto kwa kukosa mashabiki.
Cantona amesema soka la Ufaransa...