JIWE LA SIKU: Pacome Day ilivyoacha deni Simba MARA ya mwisho Yanga kufanya walichokifanya, Benjamin William Mkapa alikuwa katika awamu yake ya uongozi wa nchi hii. Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Ndio, Waingereza walikuwa bado...
JIWE LA SIKU: Simba, Yanga nani bingwa wa Afrika? TAIFA Stars imeondoshwa kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zinazoendelea kule Ivory Coast. Imeishia katika hatua ya makundi. Imeshika mkia katika kundi lake. Kuna cha...
Mabondia wanaomiliki ndinga zao ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki maarufu bodaboda ambazo wapo baadhi...
Amrouche anavyojibebesha msalaba Taifa Stars JUZI usiku kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘TaifaStars’, Adel Amrouche alitangaza kikosi cha wachezaji 35 watakaoingia kambini kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger na...
Azam FC inakosa 'ukorofi' wa kimpira Mpira licha ya kuwa ni mchezo wa kiungwana lakini unahitaji aina fulani hivi ya ukorofi ili mambo yaende. Hapa ndipo unapokuja msemo maarufu wa kiingereza wa ‘take one for the team’ ambao maana...
Tatizo Yanga liko hapa MASHABIKI wa Yanga wanakumbana na vitisho vingi vya kuwarusha roho kutoka kwa wapinzani wao kuwa zama zao zimepita na kwamba hata pale kileleni mwa msimamo walipokaa wamewashikia Simba. Ni kweli...
Kaizer Chiefs mtauweza mziki huu? MSIMU wa tano wa Kilele cha Wiki ya Mwananchi kwa klabu ya Yanga unafikia tamati leo wakati wanachama na mashabiki wa klabu hiyo watajumuika pamoja kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa kupata burudani...
PRIME Miezi miwili ya kibabe Yanga UMEBAKI muda usiozidi wiki moja ili itimie miezi miwili tangu msimu wa soka wa 2022/2023 uanze hapa nchini na tayari umeshuhudia msisimko na mvuto wa aina yake kwa mechi mbalimbali za mashindano...
PRIME Simba hii unatokaje kwa mfano! NI sahihi kusema Simba pale mbele imeenea. Kocha wa Simba, Olivier Robert Robertinho amesisitiza kwamba msimu huu ni bandika bandua na mashabiki wataanza kujionea wikiendi hii kwenye Simba Day...
Siku saba tu Simba kuvuna Sh60 milioni KIKOSI cha Simba juzi usiku kilikuwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam ikikata tiketi ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa kuichapa USGN ya Niger, huku mastaa wa...