PRIME Mrithi wa Nabi pasua kichwa Kocha Nasredine Nabi ameng'oa nanga Jangwani amegoma kuongezewa mkataba mpya na uongozi ukamtakia kila kheri tayari ameanza mazungumzo na vyuma viwili ambavyo muda wowote watafanya uamuzi wa mwisho.
Darasani Pacome, Chama nani mwalimu? MOJA ya vitu vya kujivunia kwenye ligi yetu, ni kuona wimbi la wachezaji wa kigeni wenye ubora wanazidi kumiminika. Kama wewe ni mtu wa burudani, bila shaka yoyote Pacôme Zouzoua wa Yanga atakuwa...
Hawa hapa wabaya wa Diarra Bongo Kikosi cha Yanga kimezidi kuimarika baada ya kurejea kwa nyota wa timu hiyo waliokuwa kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zilizomalizika wikiendi iliyopita kule Ivory Coast.
JIWE LA SIKU: Waamuzi wa ligi yetu watabadilika lini? KUMEKUWA na mijadala mingi kuhusu waamuzi wanaochezesha ligi zetu. Mijadala ilikolezwa na kitendo cha kukosa hata mwamuzi mmoja katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023...
PUMZI YA MOTO: Eric Cantona kipaji cha soka safi na domo chafu NYOTA wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa, Eric Cantona, amerusha jiwe kwa nchi yake akiliponda soka la nchi hiyo kwamba halina mvuto kwa kukosa mashabiki. Cantona amesema soka la Ufaransa...
JIWE LA SIKU: Mo Dewji mwishowe atachoka Simba KUNA vitu vingine vinaumiza sana. Ni kama hili la mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa Klabu ya Simba. Limekaa muda mrefu na sasa linatia kizunguzungu. Mchakato ulianza vizuri miaka saba nyuma.
JIWE LA SIKU: Pacome Day ilivyoacha deni Simba MARA ya mwisho Yanga kufanya walichokifanya, Benjamin William Mkapa alikuwa katika awamu yake ya uongozi wa nchi hii. Clement Mzize alikuwa hajazaliwa. Ndio, Waingereza walikuwa bado...
JIWE LA SIKU: Simba, Yanga nani bingwa wa Afrika? TAIFA Stars imeondoshwa kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 zinazoendelea kule Ivory Coast. Imeishia katika hatua ya makundi. Imeshika mkia katika kundi lake. Kuna cha...
Mabondia wanaomiliki ndinga zao ZAMANI mabondia wengi wa Bongo walikuwa wanapanda daladala au kukodisha magari kwa ajili ya kufika katika maeneo mengine kabla ya kuibuka kwa uwepo wa pikipiki maarufu bodaboda ambazo wapo baadhi...
Amrouche anavyojibebesha msalaba Taifa Stars JUZI usiku kocha mkuu wa timu ya Taifa ‘TaifaStars’, Adel Amrouche alitangaza kikosi cha wachezaji 35 watakaoingia kambini kwa ajili ya mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Niger na...