Mamilioni kiganjani mwako na Bingo ya Parimatch Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch imeamua kuwapa fursa mpya wateja wake kwa kucheza Casino kiganjani ambayo imesheheni zaidi ya michezo 200 mikali ndani yake ikiwemo BINGO na KENO...
Matola makocha wanakuja na kumuacha Simba KISTAAJABU ya Mussa utayaona ya Firauni; hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Kocha wa Simba, Zorani Maki kuondoka huku akikimbizana na rekodi ya aliyewahi kuwa Kocha wa Yanga, Zlatko Krmpotic...
Nkoma atua kambi ya Simba Malawi KOCHA Mkuu wa kikosi cha timu ya wanawake cha Simba, Simba Queens, Sebastian Nkoma tayari ameshatinga kambi ya Simba iliyopo Lilongwe Malawi ili kuliongezea nguvu benchi la timu hiyo inayojiandaa...
Mgunda akwama Simba, Nkoma kutua Malawi MPANGO wa Simba kumtumia kocha Juma Mgunda katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi Nyasa Big Bullets ya Malawi siku ya Jumamosi hii umekwama. Simba...
TFF yampiga STOP Kisinda, Yanga wacharuka TAARIFA ya kushtua kwa mashabiki wa Yanga ni usajili wa winga wao, Tuisila Kisinda umekumbana na sintofahamu kubwa kutoka Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya klabu hiyo kuandikiwa barua...
ZA NDAANI KABISA: Yanga kuleta CEO Mzambia YANGA imempokea winga teleza, Tuisila Kisinda ‘TK Master’ aliyetua alfajiri ya leo kutoka Morocco alikokuwa akiichezea RS Berkane, lakini taarifa za kusisimua ni kwamba klabu hiyo inahesabu siku...
Tanzania ya Samia michezoni MOJA ya nyakati nitakazozikumbuka kwa muda mrefu katika utumishi wangu kwenye michezo ni Aprili 4, 2017.
Mmoja Yanga kumpisha Kisinda, aikataa ofa ya Simba DIRISHA la usajili wa wachezaji nchini limefungwa usiku wa kuamkia leo, lakini habari kubwa huenda ni sapraizi kwa mashabiki wa Yanga ile ya winga teleza, Tuisila Kisinda kuamua kurejea tena...
ZILITREND: He! Kocha Yanga achangisha buku buku SIKU kama ya leo 2008, aliyekuwa Kocha wa Yanga, Dusan Kondic aliwashukuru mashabiki wa klabu hiyo kwa sapoti huku akiwataka kila mmoja wao atoe sh 1000 kwa ajili ya kutunisha mfuko wa timu hiyo...
Sita Simba kukipiga Arsenal SIKU kama ya leo lakini ikiwa ni mwaka 2008, aliyekuwa kocha wa Simba, Krasimir Bezinski alisema katika kikosi chake ana wachezaji sita ambao anaweza kuwatengeza kwa muda mfupi na wakacheza soka...