Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8269 results for Mwandishi Wetu :

  1. Yanga yafunika tuzo za msimu 2022/23

    Timu ya Yanga imefunika kwenye tuzo za msimu wa 2022/23 zilizotolewa leo kwenye ukumbi wa kituo cha soka cha Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) jijini Tanga. Yanga imepata jumla ya tuzo 12...

  2. Nabi ashtua Yanga, atoa neno

    Kocha Mkuu wa Yanga, Nasredinne Nabi amesema amefurahishwa na mafanikio aliyoyapata ndani ya klabu hiyo huku akiwatuliza mashabiki juu ya uwepo wake ndani ya timu hiyo. Hayo ameyasema leo...

  3. Vita ya Mayele, Saido yahamia Tanga

    HUKO mtaani hadi sasa mjadala ni ishu ya Tuzo ya Mfungaji Bora wa Ligi Kuu Bara, baada ya Fiston Mayele wa Yanga na Saido Ntibazonkiza wa Simba kufungana kwa kila mmoja kufunga mabao 17, huku...

  4. Rekodi hizi zimeshindwa kuvunjwa Ligi Kuu

    LIGI Kuu Bara imemalizika jana kwa mechi za raundi ya 30 zilipopigwa na kushuhudiwa Yanga ikikabidhiwa taji kwenye Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya baada ya kumalizana na Tanzania Prisons, huku...

  5. Kocha Azam amjibu Mayele

    kupumzika hivyo hatuna sababu ya kutoonesha kwa mashabiki wetu uwezo tulionao" amesema Bajana. Wakati Benchi la ufundi na wachezaji wa Azam wakizungumza hayo uwanja wa Mkwakwani...

  6. Singida Big Stars na bonge la sapraizi

    ILIPANDA Ligi Kuu Bara msimu huu kama DTB, lakini hakuna aliyeichukulia kwa uzito mkubwa pengine kwa sababu ilikuwa inayoka Ligi ya Championship. Fasta mabosi wake wakaibadilisha jina la kuiita...

  7. NIONAVYO: CAF ijitenge na uhuni huu

    diplomasia kati ya mataifa haya. Hii ni matokeo ya kuvumiliwa vitendo vidogovidogo na mamlaka zinazohusika na mchezo huu. Vitendo hivi, kama nilivyosema, vinafanyika mbele ya viongozi wa mpira na...

  8. Simba imefeli padogo tu msimu huu

    KATIKA muendelezo wa makala yetu ya anguko la Simba katika misimu miwili ya hivi karibuni miongoni mwa sababu kuu ni pamoja na kutokuwa na ubavu wa kushindana sokoni kusajili wachezaji walio...

  9. Watumishi hewa msimu 2022/ 23 Yanga, Simba

    KLABU inaposajili mchezaji inakuwa na malengo ya kufaidika na huduma yake, bahati mbaya wengi wao wanashindwa kutimiza kusudi wakikabiliwa na changamoto kama majeraha na kukosa ushindani dhidi ya...

  10. Simba sio kinyonge msimu huu

    SIMBA ya kibabe Afrika, ndio ndoto ya kila shabiki wa timu hiyo wakati Wekundu wa Msimbazi wakitaka kuisahau njozi mbaya ya kumaliza msimu wa pili bila ya taji lolote na huku wakijiandaa na...

Previous

Page 704 of 827

Next