Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8268 results for Mwandishi Wetu :

  1. PRIME Vigogo FIFA, CAF waiteka Dar

    Ugeni wa viongozi wa soka wapatao 250 kutoka maeneo tofauti duniani unatarajiwa kuanza kuingia leo Dar es Salaam kwa ajili ya kushiriki tukio la uzinduzi wa mashindano ya Ligi ya Mpira wa Miguu...

  2. Mbabe, Kiduku wazidi kuporomoka, kwa Mwakinyo mh...!

    Mabondia Hassan Mwakinyo, Dullah Mbabe na Twaha Kiduku wameporoka kwenye ubora wa Tanzania katika kila uzani (pound for pound). Mbali na ubora wa Tanzania, Mwakinyo pia ameporoka kwenye uzani...

  3. Wadhamini Simba waja na Sanya Sanya

    watakao weka dau kuanzia Sh5,000 na kubashiri kuanzia mechi mbili katika masoko yote ya kampuni ya M-Bet Tanzania kama Perfect 12, Normal, dakika 45 na Multibet, watashinda zawadi ya televisheni...

  4. Mchezo wa kubahatisha wampa bodaboda

    kuwaomba wateja wao kuendelea kukopa na kuingia kwenye droo hiyo.  “Tumeweka jumla ya Sh50 bilioni kwa ajili ya kukopesha wateja wetu. Mteja anaweza kushinda fedha ya ziada (Bonus) ya...

  5. Kipa Mrundi aibukia Yanga

    YANGA imeendelea kujifua kwenye Uwanja wa Avic Town, Kigamboni, jijini Dar es Salaam kwaajili ya mechi zijazo ikiwemo ya Ligi Kuu dhidi ya Azam FC itakayochezwa Oktoba 25 mwaka huu huku kipa...

  6. PRIME Kibu, Chama wamtibua Kocha ang'aka, ahoji waarabu wamewezaje

    SIMBA jana ilizindua jezi mpya za michuano mipya ya African Football League (Super League) ikijiandaa kuvaana na Al Ahly ya Misri, lakini kocha wa timu hiyo Roberto Oliveira ‘Robertinho aking’aka...

  7. Amrouche awapotezea Fei toto, Kapombe Stars

    Kocha wa Taifa Stars Adel Amrouche ameendelea kuwapotezea kiungo wa Azam FC, Feisal Salum 'Fei Toto' na mabeki wa Simba wa pembeni Mohamed Hussein 'Tshabalala' na Shomari Kapombe. Katika orodha...

  8. Patamu, huku Baleke kule Fei Toto

    LIGI Kuu Bara imesimama kwa wiki mbili, huku mechi 40 hadi zikipigwa. Mechi hizo zimepigwa kuanzia Agosti 15 hadi Oktoba 8, zimezalisha mabao 89, huku wazawa 39 wakifunga mabao 50, wakiongozwa...

  9. Mkude, Metacha warejea kikosini Yanga

    akiwa na ruhusa maalumu na kukosa mechi ya marudiano dhidi ya Al Merreikh, Ihefu na Geita Gold. Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi aliliambia gazeti hili jana kuwa atatumia kipindi hiki cha mapumziko...

  10. Simba yawaruhusu mastaa wake kujiunga kambi ya Stars

    Wachezaji wa Simba Kibu Denis na Mzamiru Yassin wameonakena kwenye mazoezi ya kikosi cha timu ya Taifa Tanzania 'Taifa Stars' kinachojiandaa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Sudan. Mechi hiyo...

Previous

Page 684 of 827

Next