JIWE LA SIKU: Chama kaamua kuwajibu Simba TANGU mwishoni mwa mwaka jana kumekuwa na maneno mengi sana kuhusu kiwango cha kiungo Clatous Chama ‘Mwamba wa Lusaka’. Baadhi ya mashabiki na wachambuzi wa soka wamekuwa wakisema kuwa, ni...
Inonga arudi Ivory Coast Jana Simba imemalizana na JKT Tanzania na sasa Henock Inonga atahusika kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Asec Mimosas ya Ivory Coast itakayopigwa Uwanja wa Felix Houphouet Boigny...
Faki: Hizi Simba, Yanga hazikuwa na maajabu BEKI mahiri wa zamani wa Coastal Union ya Tanga na Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Salim Amir Faki ameiomba Serikali ya Tanzania kuwaangalia kwa jicho la huruma wachezaji waliocheza...
PRIME Inonga aamua kuondoka Simba KWA Kiswahili cha kijiweni wanasema; “Imeisha.” Beki kitasa cha Simba aliyeng’ara na DR Congo kwenye Afcon, amefanya uamuzi wake kimyakimya na akapiga kimya vilevile. Na uamuzi huo unamaanisha...
Mechi ya Simba, Mtibwa yaahirishwa Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara, imeahirisha mchezo kati ya Simba na Mtibwa uliokuwa umepangwa kupigwa Jumapili hii kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Huu ulikuwa mchezo wa 16 kwa timu hizo wa...
Huyu hapa kigogo anayetajwa United, ana balaa Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumuajiri Dan Ashworth akawe mkurugenzi mpya wa michezo katika timu hiyo ambayo ina historia na rekodi za kipekee Englanda.
PRIME Meneja: Mayele ameikosea Yanga WAKATI mjadala ukiendelea kushika kasi juu ya shutuma alizozitoa mshambuliaji wa Pyramids Fiston Mayele, limeibuka jipya baada ya meneja wake aliyemleta nchini Nestor Mutuale kutoa neno kuhusu...
JIWE LA SIKU: Mayele ajifunze kwa Chama Fiston Kalala Mayele ni mchezaji ambaye amekuwa akipendwa zaidi Yanga kwa miaka hii miwili kuliko mchezaji mwingine yeyote.
Kila ulipo unyayo wa Diamond, Zuchu anakanyaga Ikiwa ni miaka mitatu tangu Zuchu kusainiwa WCB Wasafi, staa huyo wa Bongofleva anaendelea kupita njia za bosi wake, Diamond Platnumz kwa lengo la kuhakikisha muziki wake unakua na kufika mbali...
Gamondi akaa kikao kizito na mastaa Wakati timu chache zikiwa hazijamaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Bara, tayari Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi ameanza hesabu ya mechi za mzunguko wa pili, huku akiweka kikao na mastaa wake.