PUMZI YA MOTO: Mechi ya Azam, Yanga hatihati kufanyika
RATIBA ya Bodi ya Ligi iliyotoka Jumatatu, Januari 29, ilionyesha kwamba mechi namba 168 ya Dabi ya Dar es Salaam kati ya Azam FC na Yanga itafanyika Machi 17 saa moja usiku uwanjani Azam Complex...