PRIME Boka, Yanga mambo safi, kigogo atua na ndege binafsi wamalizane YANGA nzima jana ilikuwa Arusha ikitafuta tiketi ya kucheza fainali ya tano ya Kombe la Shirikisho (FA) ndani ya miaka tisa, lakini mabosi wake wakirudi tu mjini, watakutana na bilionea mmoja...
Klopp apokewa kifalme Anfield Kikosi cha Liverpool pamoja na kushindwa kufanya vizuri kwenye Ligi Kuu England msimu huu, kimepokelewa kifalme kwenye Uwanja wa Anfield ukiwa ni mchezo wa mwisho wa kocha Jurgen Klopp wakati...
PRIME Simba yafuata straika Mzambia, aliyewafunga 2021 SIMBA imefungua mazungumzo na mshambuliaji Mzambia, Ricky Banda kwa hesabu za kumshusha nchini katika kuboresha safu yao ya ushambuliaji iliyokuwa na kiwango kibovu msimu huu.
KMKM yainyoa Malindi, Kundemba ikijitafuta ZPL BAO la dakika 90 lililowekwa kimiani na Salum Akida Shuruku lilimeiwezesha watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 mbele ya Malindi na kufufua matumaini ya...
ES Tunis, Ahly ngoma droo fainali ya kwanza NGOMA droo. Ndicho kilichotokea kwenye mchezo wa kwanza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya Esperance de Tunis kutoka sare ya bila kufungana na Al Ahly katika kipute kilichofanyika usiku...
Gor Mahia inahesabu saa tu, kabla ya kutangaza ubingwa WATETEZI wa Ligi Kuu ya Kenya (KPL), Gor Mahia kwa sasa wanahesabu saa tu kabla ya kubeba taji la 21 na kuzidi kuboresha rekodi iliyonayo katika ligi hiyo iliyosaliwa na mechi za raundi tatu...
JKU inautaka ubingwa, yampiga mtu wiki ZPL SAA 24 tu, tangu maafande wa KVZ walipoifumua Maendeleo 7-3 katika mechi ya Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), vinara wa ligi hiyo, JKU imejibu mpigo jioni ya leo Ijumaa kwa kuinyoosha Jamhuri ya Pemba...
Usiku wa wababe wa Afrika Leo kutakuwa na kivumbi haswa wakati ambapo mabingwa wa kihistoria kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Al Ahly watavaana na Espérance de Tunis kwenye fainali.
JELLAH: Nahodha Stars aliyeteseka kwa miaka 20 kitandani NGULI wa zamani wa Taifa Stars, Jella Mtagwa alifariki dunia juzi jijini Dar es Salaam baada ya kuteseka kitandani kwa miaka 20. Tunarudia sehemu ya mahojiano yake na Mwanaspoti akiwa kitandani...
Hii hapa mikakati ya Simba ikifumuliwa, kusuka upya kikosi SIMBA imekubali yaishe baada ya watani zao wa jadi Yanga kubeba ubingwa wa ligi kwa mara ya tatu mfululizo, jambo lililowaumiza Wekundu wa Msimbazi hao na sasa timu hiyo inaenda kufumuliwa na...