Serbia yatishia kujitoa Euro 2024 SERBIA imetishia kujiondoa katika michuano ya Euro 2024, ikizishutumu Croatia na Albania kuwa na kampeni za kutaka kuwafanyia mambo mabaya.
PRIME Siri yafichuka rundo la kesi za Fifa, Yanga yatajwa tena DIRISHA jipya la usajili kwa ajili ya msimu ujao wa mwaka 2024-2025 limefunguliwa tangu Juni 15, huku kukiwa na sintofahamu kwa timu tano ikiwamo mabingwa wa Tanzania, Yanga.
Kundemba yaishusha rasmi Ngome ZPL Kundemba ambayo nayo haina uhakika wa kusalia kwenye ligi hiyo iwapo itachemsha katika mechi ya kufungia msimu, ilipata ushindi huo muhimu kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja na kuifanya...
Makipa janga timu ya taifa Simba, Yanga na Azam, ni timu ambazo zimekuwa zikitawala soka la Tanzania kwa muda mrefu. Kuanzia mwaka 2008 ambapo Azam FC ilianza kushiriki Ligi Kuu Bara, timu hizi tatu pekee ndizo...
TFF, Yanga kumekucha... YANGA wamewaambia mashabiki wao mitandaoni kwamba wameshamaliza madai kwa kuwalipa wachezaji wao wawili walioifungulia kesi Shirikisho la Soka Duniani (FIFA), Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
PRIME Vigogo Simba waanza kazi kwa kishindo, yatua kwa nyota Asec, Zesco VIGOGO wapya waliopewa jukumu la kuisuka Simba mpya wameanza kishindo cha anga kwa anga. Zambia na Ivory Coast zimekuwa nchi za kwanza kukumbana na mziki huo.
JKU yashikilia ubingwa wa Zanzibar mkono mmoja USHINDI wa bao 1-0 iliyopata JKU mbele la waliokuwa watetezi wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), KMKM imewafanya vinara hao wa ligi hiyo kulishikilia taji kwa mkono mmoja na hii ni baada ya Zimamoto...
Miaka 130 ya Olimpiki Morogoro Wanamichezo mbalimbali nchini watashiriki mbio za kilomita 2.5 na kilomita 5 zitakazoanzia kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro kuadhimisha miaka 130 ya Olimpiki.
Korea Kaskazini ikifuzu Kombe la Dunia 2026 itakuwaje! Harakati za kufuzu Kombe la Dunia la 2026 litakalofanyika Marekani na Canada, zinaendelea duniani kote .
PRIME Yanga yamuita Mpole mezani, mchongo mzima uko hivi! MABOSI wa Yanga wakiendelea kumfuatilia kwa ukaribu Phillipe Kinzumbi wa TP Mazembe ya DR Congo aliyedaiwa kusaini kwa mabingwa wa Morocco, Raja Casablanca, lakini wanapiga hesabu kali mpya...