Camara aanza na jezi ya Manula Kwa Mkapa KOCHA Miguel Gamondi ameanza na kikosi chenye sura tatu mpya tofauti, huku kocha wa Simba Fadlu Davids akiwa na nyota sita kati ya 13 waliosajiliwa hivi karibuni, lakini sapraizi ni kipa Moussa...
Wakitua Paris, wanne riadha wabeba tumaini la Tanzania Olimpiki 2024 Wanariadha wanne wa Tanzania watakaoshiriki michezo ya Olimpiki 2024, wamewasili salama jijini Paris nchini Ufaransa wakiwa na tumaini la kulibeba taifa.
Rekodi dabi za Agosti MECHI ya lawama imefika. Ndio, watani wa jadi wa soka nchini, Simba na Yanga leo Alhamisi watashuka uwanjani kumalizana katika pambano la Ngao ya Jamii, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...
Timu za Ligi Kuu Bara kutumia viwanja vya Zanzibar Mtendaji mkuu wa Bodi ya Ligi Tanzania (TPLB), Almas Kasongo amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi 2024/25 ni ruksa kwa timu ya Ligi Kuu Bara kutumia viwanja vya Zanzibar.
Afrika mambo magumu Olimpiki 2024 Nchi za Bara la Afrika zimeendelea kufanya vibaya kwenye mashindano ya Olimpiki 2024, mpaka sasa Afrika Kusini na Kenya zikionekana kuendelea kujikongoja.
Azam FC moto, yabeba ndoo Kigali WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC imeendelea kukunjua makucha baada ya juzi usiku kupata ushindi wa bao 1-0 na kubeba ubingwa ikiwa jijini Kigali, Rwanda.
Kumekucha Climate Change Marathon 2024 MSIMU wa tatu wa mbio za mabadiliko ya Tabia Nchi kwa mwaka 2024, Climate Change Marathon 2024 zinatarajiwa kufanyika wilayani Pangani kwa mara ya kwanza zikihusisha washiriki kutoka ndani na...
Hizi Simba, Yanga tatizo lipo hapa tu! KUNA wakati huwa nacheka sana nikizisikia tambo za wanachama na mashabiki wa klabu za Simba na Yanga. Iwe ni katika vijiwe vya kahawa mitaani au ndani ya mitandao ya kijamii, huchekesha!
Mwananchi Day 2024… Nyie hamuogopi! NDIYO kaulimbiu iliyoko mtaani leo katika siku ambayo Yanga wana pati lao la Mwananchi Day kwenye Uwanja wa Mkapa. Wanatamba kikosi chao ni bandika bandua hasa kutokana na mastaa wazoefu...
DTB yabeba ndoo ya mabenki Dar Timu ya Soka ya Diamond Trust Bank (DTB) imetawazwa kuwa bingwa mpya wa mashindano ya mabenki msimu huu yaliyofikia tamati usiku wa jana Agosti Mosi kwenye viwanja vya klabu ya Gymkhana, Dar es...