PRIME Fadlu aliamsha Simba, arudia jambo lile lile KIKOSI cha Simba jana usiku kilikuwa jijini Tripoli, Libya kumalizana na Al Ahli Tripoli katika mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika, huku kocha wa timu hiyo,...
Mbinu zaibeba Simba ugenini SIMBA imemaliza salama dakika 90 za kwanza za mchezo wa raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho, huku shukrani zikienda kwa mbinu alizozitumia kocha Fadlu Davids za timu hiyo kufunguka mwanzo...
CAFCL: Al Ahly yaanza na moto ule ule WATETEZI wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri imeanza na moto kwa kuikandika Gor Mahia ya Kenya ikiwa jijini Nairobi ikiendeleza pale ilipoishia msimu uliopita ilipotwaa taji la pili...
EPL imefika patamu sasa Huku vita ya Ligi Kuu England ikiendelea leo kati ya Arsenal na Tottenham Hotspur, jana kocha wa Liverpool Arne Slot alipokea kichapo cha kwanza kuanzia amejiunga na timu hiyo.
Bosi La Liga aichongea Man City Rais wa Bodi ya Ligi Kuu Hispania ‘La Liga’, Javier Tebas amefichua kuwa idadi kubwa ya timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya England (EPL), zimetoa maoni kuwa Manchester City ipewe adhabu kutokana na...
Simba mkao wa kula leo Afrika Dakika 90 za mchezo wa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo kwenye Uwanja wa Juni 11, Tripoli, Libya zinapaswa kutumiwa vyema na Simba ili ijiweke katika mazingira mazuri ya kutinga hatua ya...
Dabi ya Dodoma ardhi ya ugenini UMESHAWAHI kushuhudia mchezo wa dabi ukipigwa katika ardhi ya ugenini? Basi leo ndiyo itatokea hivyo pale Dimba la Tanzanite Kwaraa lililopo Manyara pindi Fountain Gate inayonolewa na kocha...
Gor Mahia, Al Ahly kazi ipo MASHABIKI wa soka nchini sambamba na wale wa ukanda wa Afrika Masharikia leo watapata burudani ya aina yake ya kuwashuhudia Mabingwa wa Kenya, Gor Mahia watakapokuwa wakitunishiana misuli na...
Tuzo yampa nguvu staa Mashujaa ABDULRAHMAN Mussa ambaye anatumika kama beki wa kulia ndani ya kikosi cha Mashujaa, amesema tuzo aliyoipata katika mchezo dhidi ya Coastal Union imempa nguvu mpya ya kuendelea kupambana. Mussa...
KMKM yazindukia Mwembe Makumbi MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, KMKM juzi jioni walizinduka katika mfululizo wa mechi za Ligi Kuu visiwani humo (ZPL) baada ya kuifumua Mwembe Makumbi City kwa mabao 2-1 baada ya awali kuanza...