Sikieni! Jeremie Frimpong atajwa Manchester City KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola amewasilisha jina la winga-beki wa Bayer Leverkusen na Uholanzi, Jeremie Frimpong, 23, akitaka asajiliwe Januari mwakani.
PRIME Kocha mpya aifumua Yanga, Moallin... JUZI tulishuhudia Kocha mpya wa Manchester United, Ruben Amorim akitua klabuni hapo akitokea Sporting Lisbon akiwa na wasaidizi wake watano. Wale aliowakuta akiwemo kocha wa muda, Rud van...
Sababu CAF kusogeza mbele Chan Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetangaza kusogeza mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (Chan) 2024 zilizokuwa zifanyike Tanzania, Kenya na Uganda kuanzia Februari...
MILELE...Mastaa bado wapo sana HIVI karibuni straika wa Manchester City, Erling Haaland alisaini mkataba mpya wa miaka tisa utakaomwezesha kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2034.
GBT kudhibiti madubwi haramu KAMA wewe ni mcheza au mchezeshaji mchezo wa dubwi (Slot) mtaani na unafanya kinyume cha sheria, jiandae tu kwa sasa, kwani Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT) imeanza msako ikiwatumia...
Mwenyekiti mpya Coastal ayakataa makundi BAADA ya Hassan Muhsin kuchaguliwa na wajumbe zaidi ya 235 kuwa mwenyekiti wa Klabu ya Coastal Union, ameitaja falsafa yake kuwa ni umoja ikiwa ni kipaumbele chake kikubwa itakayosaidia kuvutia...
Yanga yavuna nusu bilioni za SportPesa YANGA mwendo wa fedha tu. Baada ya kujihakikishia kuvuna Sh 600 Milioni kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kutoka kwa wadhamini wa ligi hiyo, wababe hao wa soka nchini jana wamevuna fedha...
PRIME Straika mpya Simba ambakiza Freddy, ajiaandaa na maisha mapya Msimbazi Kikosi cha Simba bado kipo jijini Arusha kwa ajili ya pambano la mwisho la Ligi Kuu Bara ili kujua hatma ya ushiriki wa timu hiyo katika mechi za kimataifa msimu ujao kama itaenda Ligi ya...
Hat trick ya 7 yapigwa Zenji, Uhamiaji ikiizamisha Kipanga LIGI Kuu ya Zanzibar (ZPL) iliyopo ukingoni imeendelea tena jioni ya leo, ikishuhudiwa hat trick ya saba ikifungwa visiwani humo, wakati Uhamiaji ikiizamisha Kipanga kwa mabao 3-2 katika mechi...
Dabi ya Dodoma ardhi ya ugenini UMESHAWAHI kushuhudia mchezo wa dabi ukipigwa katika ardhi ya ugenini? Basi leo ndiyo itatokea hivyo pale Dimba la Tanzanite Kwaraa lililopo Manyara pindi Fountain Gate inayonolewa na kocha...