Arsenal v Madrid, Bayern v Inter usiku wa hesabu kali ROBO fainali za kwanza za Ligi ya Mabingwa Ulaya zinapigwa leo na kesho huku macho na masikio yakiwa pale kwenye Uwanja wa Emirate, Arsenal itakapoikaribisha Mabingwa wa kihistoria wa michuano...
KenGold na Dakika 180 za kubaki Ligi Kuu KABLA ya kumalizika kwa mwezi huu, tunaweza kuishuhudia KenGold ikilazimika kuanza harakati za kujiandaa kushiriki Championship msimu ujao endapo itashindwa kuzitumia vizuri dakika 180 zijazo...
Slot akanusha mastaa wake kuvimba KOCHA wa Liverpool, Arne Slot amesisitiza kwamba wachezaji wake hawajioni kama wameshachukua ubingwa na kujivuna licha ya matokeo mabaya wanayopata hivi karibuni.
Ronaldo amaliza ubishi wa Messi STAA wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo amesema mjadala wa yeye na Lionel Messi juu ya nani bora hautokoma hata akifanikiwa kuchukua taji la Kombe la Dunia.
Mashabiki Spurs waandamana MASHABIKI wa Tottenham waliandamana katika mitaa mbalimbali na nje ya uwanja wao wa Tottenham Hotspur Stadium wakimtaka mwenyekiti wao Daniel Levy kuachana na timu hiyo.
PRIME PUMZI YA MOTO: Tuhuma za Tabora United zitaachwa zipite? KWA mara nyingine tena mpira wa Tanzania umekumbwa na matukio yenye kuashiria ushawishi wa rushwa na upangaji matokeo.
HAINA KUFELI: Soka limeokoa maisha ya mastaa hawa SOKA ni moja ya michezo inayolipa sana. Wanasoka wengi wamebadilisha maisha yao kutokana na mchezo huu. Wapo waliotokea katika maisha tofauti na wanatengeneza pesa kutokana na soka.
Arsenal kufanya mabadiliko makubwa ARSENAL wametajwa kuwa na mpango wa kufanya maboresho makubwa katika kikosi chao kwa kusajili wachezaji wanne katika dirisha la uhamisho la majira ya kiangazi mwaka huu.
Slot afichua siri ya Mohamed Salah KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amefichua siri ya kinachosababisha ukame wa mabao wa staa wake, Mohamed Salah katika kipindi cha hivi karibuni.
Amorim amng'ata sikio bosi Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amemtaka mkurugenzi wa ufundi wa timu hiyo, Jason Wilcox kushirikiana naye vilivyo na kuwa makini katika dirisha lijalo la usajili ili kufanikisha mpango...