Wakufunzi watano freshi Arsenal ARSENAL imefikia makubaliano ya kuwasainisha mikataba mipya wakufunzi watano ambao ni sehemu ya benchi lao la ufundi chini ya kocha Mikel Arteta.
Anabaki! Mo Salah miwili tena ANABAKI. Ndicho unaweza kusema baada ya tetesi nyingi kumhusisha Mohamed Salah na matajiri wa Saudi Arabia, lakini kilichoko ni anakaribia kusaini dili la mkataba mpya wa miaka miwili...
PRIME Simba v Stellenbosch.... Vita ya mabilionea CAF KITENDO cha Simba kufuzu nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika huku ikienda kucheza dhidi ya Stellenbosch, ni wazi itakuwa vita ya mabilionea wawili wenye nguvu kubwa ndani ya timu hizo...
Rio Ferdinand ampa kocha Man United wanne LEJENDI wa Manchester United, Rio Ferdinand amewataja wachezaji wanne ambao kocha wa timu hiyo, Ruben Amorim anatakiwa awasajili dirisha lijalo la majira ya kiangazi ili kuboresha kikosi chake.
Kwa Lewandowski, hata Ronaldo, Messi hawana MSHAMBULIAJI wa Barcelona, Robert Lewandowski aliweka rekodi mpya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambayo hata Lionel Messi na Cristiano Ronaldo hawana.
Mtu mbili kuwania buti za De Bruyne Man City MANCHESTER City ipo sokoni kumsaka mrithi wa kudumu wa kiungo Kevin De Bruyne na kwenye hilo mtego wao umetegwa huko Nottingham Forest wakimtaka staa wa timu hiyo, Morgan Gibbs-White, imeelezwa.
Mastaa Man United wachoka maneno MAMBO ni moto. Mastaa wa Manchester United wameripotiwa kumwita kwenye uwanja wa mazoezi kiungo wa zamani wa miamba hiyo Paul Scholes baada ya kuchoshwa na ukosoaji wake usiokoma.
Europa League... Spurs nyumbani, Man United ugenini MCHAKAMCHAKA chinja ndicho kinachoendelea kwenye mikikimikiki ya Ulaya, ambapo usiku wa Alhamisi zitapigwa mechi nne matata kabisa za kwanza kwenye hatua ya robo fainali ya michuano ya UEFA...
Cannavaro afutwa kazi Croatia NAHODHA wa zamani wa Italia na mshindi wa Kombe la Dunia, Fabio Cannavaro amefutwa kazi katika klabu ya Dinamo Zagreb ikiwa ni miezi mitatu tu tangu aajiriwe, taarifa ya mabingwa hao wa Croatia...
PRIME Dabi ya Dar es salaam, usiyempenda kaja Inapokuja mechi kubwa ya dabi yoyote duniani kuna vitu vingi ambavyo hutazamwa katika kuuzungumzia ukubwa wa mchezo husika.