Huyu hapa kigogo anayetajwa United, ana balaa Manchester United ipo kwenye mchakato wa kumuajiri Dan Ashworth akawe mkurugenzi mpya wa michezo katika timu hiyo ambayo ina historia na rekodi za kipekee Englanda.
Diao afunika, aibeba Azam Kombe la Mapinduzi 2024 STRAIKA wa Azam, Alassane Diao ameendelea kung'ara katika michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 baada ya kufunga bao la tatu hadi sasa huku akiongoza orodha ya wachezaji 11 waliochaguliwa kuwa...
Mashabiki Afcon wasepa na zawadi Dar es Salaam. Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya betPawa imenogesha fainali ya Mataifa ya Afrika (Afcon) inayoendelea nchini Ivory Coast kwa kumwaga zawadi mbalimbali kwa mashabiki. Kampuni...
Kocha Mfaransa ambeba Pacome WAKATI mjadala wa kutojulikana kwa Pacome Zouzoua kwao Ivory Coast ukiwa unapamba moto kwa mashabiki kushambuliana, kocha Mfaransa aliyempandisha kiungo huyo amecheka kwa dharau kisha akafafanua...
Simba: Tumejiandaa kushinda ugenini Kocha msaidizi wa Simba, Seleman Matola amesema wanakwenda Ivory Coast kwa jambo moja tu, kuhakikisha wanaipata ushindi dhidi ya Asec Mimosas. Simba imeondoka leo alifajiri kuelekeza Ivory Coast...
Ramadhani Brothers na kicheko cha mamilioni Watanzania wawili maarufu kama The Ramadhani Brothers wameibuka washindi katika shindano la kusaka vipaji la America’s Got Talent (AGT) Fantasy-Legue na kujinyakulia kitita cha Dola 250,000...
Taifa Stars imepata kipimo sahihi Kesho timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mchezo wa kirafiki wa mashindano maalumu ya Shirikisho la Soka duniani (Fifa), Fifa Series 2024.
Ishu ya tiketi Taifa Stars vs Morocco iko hivi Wakati taarifa zikienea kwamba tiketi za mchezo wa kwanza wa Taifa Stars dhidi ya Morocco zimemalizwa na Waarabu hao umetolewa ufafanuzi. Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
Walioachwa Simba waondolewa kambini JANA Simba iliachana na wachezaji wake watano ambao haitaendelea nao na tayari imewaondoa kambini huko Zanzibar ambako timu hiyo inashiriki Michuano ya Kombe la Mapinduzi. Simba leo Jumatano...
Ligi Kuu Bara ruksa Zanzibar NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma amesema hakuna kikwazo kwa timu yoyote ya Ligi Kuu kuchagua Uwanja wa Nyumbani Visiwani Zanzibar. Timu za Ligi Kuu Bara zimekuwa...