Aprili 2025: Matukio makubwa ya kimichezo ndani ya 1xBet Aprili ni mwezi uliosheheni matukio mengi ya kimichezo. Mashindano ya mpira wa miguu yanaelekea kwenye mechi za mwisho za maamuzi, mbio za magari za Formula 1 nazo zinashika kasi huku MMA ikija...
Slot kuiga mavitu ya Arsenal EPL KOCHA wa Liverpool, Arne Slot anaamini ni suala la muda tu kabla ya timu yake kufikia kiwango cha Arsenal kwenye kuwa tishio katika mipira ya kutengwa.
Arteta aisukia mkakati maalum PSG KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameanza kazi ya kupanga namna atakavyoingia kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya PSG wiki ujao, ikiwamo kumtumia Leandro Trossard kama...
Barcelona hali si shwari, Flick akuna kichwa LICHA ya kukaribia kushinda taji la La Liga msimu huu baada ya kushinda mabao 4-3 dhidi ya Celta Vigo, Jumamosi iliyopita, Kocha wa Barcelona, Hansi Flick anakabiliwa na hali ya wasiwasi...
Bernardo Silva aingia anga za Barcelona KIUNGO wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 30, ni miongoni mwa mastaa ambao mabosi wa Barcelona wamepanga kuwasajili katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi.
Chelsea kulazimika kumsajili Sancho CHELSEA watalazimika kulipa Pauni 5 milioni na kumrudisha Jadon Sancho katika timu yake ya Manchester United au kutoa karibu Pauni 25 milioni na kumsainisha mkataba wa kudumu.
Amorim aanza mikakati ya usajili Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim inadaiwa tayari ameshaingia chaka na kuanza kusuka upya kikosi chake na ameanza na safu ya ushambuliaji.
Bayer Leverkusen yakubali kwa Alonso MKURUGENZI wa Bayer Leverkusen, Fernando Carro amethibitisha hatma ya kocha wao Xabi Alonso itaamuliwa katika wiki chache zijazo baada ya mazungumzo zaidi na wangependa kuendelea kuwa naye lakini...
Nyuma ya mafanikio ya Lewis-Skelly kuna Marcia Lewis Septemba 22, 2024, itabaki kwenye historia ya soka, hasa la England, kama moja ya siku za kipekee na kukumbukwa sana.
Carragher: Alexander-Arnold hapaswi kuanza Liverpool LEJENDI wa Liverpool, Jamie Carragher amesisitiza beki wa timu hiyo Trent Alexander-Arnold hapaswi kuanza tena katika kikosi cha Liverpool ikiwa hajatoa majibu kama anataka kuondoka au kubaki.