Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8163 results for Mwandishi Wetu :

  1. Kipigo hakijamshtua Enrique kuwavaa Arsenal

    LICHA ya kupoteza kwa mara ya kwanza wiki iliyopita tangu kuanza kwa msimu huu, kocha wa Paris Saint-Germain, Luis Enrique, amesisitiza kwamba hajali kabisa kuhusu matokeo hayo na anaona hayana...

    PSG Pict
  2. Liverpool yabeba ubingwa EPL ikiisulubu  Totenham

    Imeisha hiyo. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Liverpool kuibamiza Totenham Hotspur kwa mabao 5-1 katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Anfield na kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England (EPL).

    LIVERPOOL Pict
  3. Barcelona waanza kumnyatia Julian Alvarez

    BARCELONA wanapanga kufanya usajili wa mshambuliaji wa Atletico Madrid na timu ya taifa ya Argentina, Julian Alvarez, 25, katika dirisha lijalo la majira ya kiangazi ikiwa ni katika harakati zao...

    FUNUNU Pict
  4. Rudiger anukia kupewa kibano

    BEKI kisiki wa Real Madrid, Antonio Rudiger inadaiwa atakutana na adhabu kubwa kwa kumtupia barafu mwamuzi kwenye mchezo wa fainali ya Copa del Rey dhidi ya Barcelona ambao ulimalizika kwa Madrid...

    RUDIGAR Pict
  5. Ancelotti, Brazil mambo yameiva

    SHIRIKISHO la soka la Brazil linaripotiwa kuwa na imani kubwa ya kumpata kocha wa Real Madrid, Carlo Ancelotti kuelekea michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu.

    ANCELOTTI Pict
  6. Kuhusu Cunha, Amorim kasema haweki neno

    KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amekataa kutoa maoni kuhusu tetesi zinazoihusisha timu hiyo na nyota wa Wolves, Matheus Cunha, anayedaiwa anaweza kusajiliwa dirisha lijalo.

  7. Man City ikishinda kesi, klabu za EPL imekula kwao

    KESI ya kisheria kati ya Manchester City na mamlaka zinazosimamia Ligi Kuu England huenda ikaibua mapya na kuzigharibu klabu zinazoshiriki Ligi Kuu England kwa kutakiwa kuilipa fidia miamba hiyo...

  8. Evra amtaka Suarez wapigane

    LEJENDI wa Manchester United, Patrice Evra, yupo kwenye mchakato wa kufanya mabadiliko ya kushangaza kwa kuwa mpiganaji wa MMA na anataka kucheza pambano moja dhidi ya Luis Suarez.

  9. Maresca ajiondoa kwa Palmer

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amesema hahusiki na kushuka kwa kiwango cha staa wa timu hiyo, Cole Palmer na amesisitiza huenda ana presha.

  10. Tiketi za ubingwa Liverpool ni milioni 11

    LEO ni siku maalumu kwa mashabiki wa soka wa Liverpool. Licha ya ukweli huenda ikawa siku ya maumivu kwa majirani zao Everton na wapinzani wao Manchester United, lakini hii ni siku muhimu sana...

Previous

Page 491 of 817

Next