Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Search

8552 results for Mwandishi Wetu :

  1. Tuchel kumweka kikao Jude Bellingham

    KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel ameweka wazi kwamba atakaa kikao na staa wa Real Madrid, Jude Bellingham kujadili mustakabali wake katika kikosi cha timu hiyo.

    TUCHEL Pict
  2. Ishu ya Uwanja Man United iko hivi

    MANCHESTER United ina matumaini ya kupata ardhi zaidi ili kuharakisha mpango wao wa kujenga uwanja mpya wa kisasa utakaokuwa na uwezo wa kuingiza watu 100,000.

    UWANJA Pict
  3. Kocha Chelsea alimwa mamilioni

    KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, amefungiwa kwa mchezo mmoja kuiongoza timu yake uwanjani na kutozwa faini ya Pauni 8,000 (zaidi ya Sh25 milioni) na Shirikisho la Soka la England kutoka na kosa...

    MARESCA Pict
  4. Real Madrid mambo ni moto, Mbappe, Mendy wako poa

    Real Madrid wamepokea habari njema kuelekea mechi yao ya LaLiga dhidi ya Getafe itakayopigwa Jumapili, Oktoba 19, 2025 baada ya kuripotiwa kuwa mshambuliaji Kylian Mbappe atakuwa tayari kucheza.

    MBAPPE Pict
  5. Fjortoft amkingia kifua Wirtz, awashangaa wanaomlaumu

    Aliyekuwa mshambuliaji wa Norway, Jan Aage Fjortoft, amemtetea kiungo wa Liverpool, Florian Wirtz, akisema mchezaji huyo wa Kijerumani analaumiwa kwa kila jambo linalokwenda vibaya ndani ya...

    WITZ Pict
  6. Eric Garcia: Haikuwa rahisi, lakini kocha Miguel alinishawishi 

    Nyota wa Barcelona, Eric Garcia, amemwagia sifu kocha wa Girona, Miguel Sánchez, kwa kumsaidia kurejesha kujiamini kwake, baada ya kuitumikia klabu hiyo kwa mkopo tangu msimu wa 2023–2024.

    GARCIA Pict
  7. Sam Allardyce: Liverpool itajuta kwa kutomsajili Marc Guehi

    Aliyekuwa kocha Crystal Palace, Sam Allardyce, anaamini kuwa Liverpool watakuja kujutia kushindwa kumsajili beki Marc Guehi wakati wa usajili wa majira ya joto.

    GUEHI Pict
  8. Bosi AS Roma afichua siri ya kuchezesha dili la Mo Salah

    Aliyekuwa Mkurugenzi wa michezo wa AS Roma ya Italia, Ramón Rodríguez Monchi, amefichua jinsi alivyoweza kuongeza kwa kiasi kikubwa ada ya uhamisho ya Mohamed Salah, aliyetimkia Liverpool mwaka...

    MO SALAH Pict
  9. Camara, Bajaber kuikosa Nsingizini, meneja Pantev afichua sababu

    ‎Meneja Mkuu wa Simba SC, Dimitar Pentev, amesema wachezaji Mohammed Bajaber na kipa Moussa Camara wataikosa mechi dhidi ya Nsingizini Hotspurs kutokana na majeraha.

    SIMBA Pict
  10. Yanga yaifuata Silver Strikers, Ali Kamwe azungumzia yatakayomkuta Mabedi

    Kikosi cha Yanga SC, kimeondoka leo asubuhi Oktoba 16, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam kuelekea Malawi kwa ajili ya mechi ya raundi ya pili...

    YANGA Pict
Previous

Page 350 of 856

Next