Man United, Liverpool zinapigana vikumbo kwa Branthwaite LIVERPOOL na Manchester United zinaiwania saini ya beki kisiki raia wa England, Jarrad Branthwaite, 23, kutoka Everton dirisha lijalo la majira ya baridi.
Pamba Jiji yabanwa nyumbani PAMBA Jiji jana ikicheza kwa mara ya kwanza mechi y Ligi Kuu Bara ikiwa nyumbani ilibanwa mbavu na Watoza Ushuru wa TRA United baada ya kutoka suluhu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Maresca awaka, mabosi waingia vyumbani KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca amewaambia wachezaji wake waache kutoa zawadi kwa timu pinzani baada ya kumaliza pungufu kwa kuonyeshwa kadi nyekundu katika mechi mbili mfululizo za Ligi Kuu England.
Slot ambwagia zigo la lawama Frimpong KOCHA wa Liverpool, Arne Slot, amemwangushia zigo la lawama mchezaji wake Jeremie Frimpong kufuatia uzembe alioufanya ambao ulisababisha timu hiyo kupoteza kwa bao la dakika za majeruhi dhidi ya...
Gamondi ajipanga upya Afrika SINGIDA Black Stars imetinga raundi ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kuing’oa Rayon Sports ya Rwanda kwa ushindi wa jumla wa mabao 3-1, huku kocha wa timu hiyo, Miguel...
Ruben Amorim akata tamaa Man United KOCHA wa Manchester United, Ruben Amorim amesema hajali kama atafukuzwa kazi au atabaki kwa sababu huo sio uamuzi wake, lakini atafanya kadri awezavyo kuhakikisha timu hiyo inarudi katika mstari.
Kocha Barca kichwa kinauma KOCHA wa Barcelona, Hansi Flick anakabiliwa na kibarua kigumu cha uchaguzi wa kikosi kabla ya mtanange muhimu wa Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain.
Redick ana taji la Lakers NBA? LOS Angeles Lakers imeweka msimamo kuhusu mustakabali baada ya kumpa kocha mkuu Jonathan Clay Redick maarufu kama JJ Redick mkataba mpya wa kuendelea kuinoa timu hiyo, jambo linaloongeza hamasa...
Arteta na safari yake ya matumaini leo LIGI Kuu England inaendelea leo na mchezo ambao unatarajiwa kuvutia mashabiki wengi zaidi ni ule wa Newcastle United itakayokuwa nyumbani kuikaribisha Arsenal ya Mikel Arteta.
Man United yachapika Premier BAADA ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 kutoka kwa Brentford ugenini katika mchezo wa mapema uliopigwa leo Jumamosi, kocha wa Manchester United anadaiwa kuwa katika hali mbaya na mabosi wa timu...