Wachezaji Nigeria wachelewa kambini, mazoezi yaahirishwa Kikosi cha timu ya taifa ya Nigeria, Super Eagles, huenda kikaanza mazoezi ya kwanza leo usiku Novemba 10, 2025, kuelekea mechi ya mchujo ya Kombe la Dunia 2026 dhidi ya Gabon itakayochezwa...
Man City ilivyonufaika kwa utata wa VAR Ligi Kuu England MANCHESTER City inabebwa? Swali gumu, lakini kwa namna ya mambo yaliyotokea kwa zaidi ya mara tatu majibu yake yanaweza kujibainisha bayana.
Guardiola afichua alichowaambia wachezaji wake kuhusu Arsenal Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola, amefichua kuwa aliwaambia wachezaji wake wasahau matokeo ya 2-2 ya Arsenal dhidi ya Sunderland, kabla ya mechi yao dhidi ya Liverpool jana Jumapili...
Jamie Carragher aukubali mziki wa Arsenal Gwiji wa Liverpool, Jamie Carragher, ameitaja Arsenal kuwa timu bora zaidi katika Ligi ya EPL msimu huu.
Okocha: Sina shaka na Super Eagles, itafuzu Kombe la Dunia 2026 Kiungo mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, Austin Jay-Jay Okocha, amesema anaamini Super Eagles ina nafasi kubwa ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026.
Kumbe Harry Maguire amebadili jina buana! BEKI, Harry Maguire amefichua kwamba wakati anazaliwa jina lake lilikuwa jingine kabisa, lakini alilazimika kulibadilisha kwa sababu ya kushangaza.
McTominey amtaka Mainoo aende fasta KIUNGO, Scott Mctominey ameitaka timu yake anayochezea Napoli kwenda kuvamia Manchester United kunasa huduma ya Kobbie Mainoo, ambaye hana furaha.
Amorim: Ni zali tu kubaki Manchester United KOCHA, Ruben Amorim amekiri kuwa ni mwenye bahati kuendelea kuwapo kwenye benchi la ufundi la Manchester United kutokana na matokeo ya hovyo iliyopata timu hiyo hasa kwenye mwaka wake wa kwanza...
Real Madrid yatenga mzigo wa maana kwa Rice, Barcola REAL Madrid inaripotiwa kuwa tayari kutumia hadi Euro 250 milioni ili kumsajili kiungo wa kati wa Arsenal na timu ya taifa ya England, Declan Rice, 26, pamoja na winga wa Paris Saint-Germain...