Arsenal ilipoishia njiani rekodi ya kutoruhusu mabao “WASHAMBULIAJI wanashinda mechi, mabeki wanashinda mataji.” Hayo ni maneno ya gwiji, Sir Alex Ferguson.
Ishu ya ubingwa EPL, kompyuta imeganda kwa Arsenal KOMPYUTA janja bado imeitabiria Arsenal kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu England msimu huu mbele ya Manchester City.
Mapumziko Ligi Kuu yakawe neema kwa timu zote KALENDA ya Shirikisho la Kandanda Duniani (FIFA), imeleta mapumziko mafupi katika ratiba ya Ligi Kuu Bara, na huu ni wakati muhimu sana kwa timu zote kufanya tathmini ya mwenendo tangu ligi ianze.
Sneijder achambua kinachomtesa Wirtz STAA wa zamani wa Real Madrid na Galatasaray, Wesley Sneijder amefunguka kumzungumzia kiungo ghali wa Liverpool, Florian Wirtz, ambaye amesema amekuwa kwenye wakati mgumu kuzoea mazingira ya Ligi...
Tottenham yashikilia msimamo kwa Rodrygo TOTTENHAM bado inatamani sana kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid na timu ya taifa ya Brazil, Rodrygo, mwenye umri wa miaka 24, dirisha lijalo la majira ya baridi.
Jeremy Doku awapagawisha makocha KIWANGO bora cha Jeremy Doku wa Manchester City kwenye mechi ya Liverpool kimewakosha makocha wa timu zote mbili na kummwagia sifa kwa kile alichofanya uwanjani.
Antonio Conte achimba mkwara Napoli KOCHA, Antonio Conte ameripotiwa kuibua shaka kubwa kuhusu hatima yake kwenye kikosi cha Napoli baada ya kuwa mbogo kufuatia kichapo cha kutoka kwa Bologna kwenye mchezo wa Serie A uliofanyika...
Shearer amwangushia jumba bovu Sesko GWIJI wa Newcastle United, Alan Shearer amembebesha lawama straika Benjamin Sesko kuwa ndiye chanzo cha mambo magumu kwenye kikosi cha Manchester United msimu huu.
Mashabiki Manchester City wamtabiria mabaya Arne Slot “UTAFUKUZWA kazi mapema asubuhi,” waliimba mashabiki wa Manchester City kumlenga kocha wa Liverpool, Arne Slot kutokana na mambo yanavyokwenda kombo kwenye kibarua chake cha kuinoa miamba hiyo ya...