Video Kigogo Mighty Wanderers atua Dar, aiwahi mapema Simba, afunguka dozi wanavyoiandaa Jumanne, Septemba 08, 2026
Tanzanite Queens kujiuliza upya kwa England leo BAADA ya timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20, Tanzanite Queens kuanza vibaya katika mechi yake ya kwanza ya Kundi B dhidi ya Brazil kwa kupokea kichapo cha mabao 4-1, sasa leo inashuka...