Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Yanga yamnasa aliyehusishwa Simba

Muktasari:

  • Lakini wameshtukia jambo. Wamepokea simu kutoka DR Congo kwamba kuna wazito wa Simba wameweka mzigo mezani wanataka kumaliza dili la yule winga Maxi Nzengeli ambaye anaichezea Maniema. Siyo huyo tu hata yule jezi namba 6 wa Asec ambaye Yanga wanamtaka Simba wamemvutia waya.