Bwamkuu: Mashujaa Queens sasa kazi ipo Moshi KOCHA wa Mashujaa Queens, Rajab Ally 'Bwamkuu' amesema ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Fountain Gate Princess katika mchezo wa ufunguzi wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania (WPL) msimu wa 2026/27 ni...