Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Wababe wa Yanga, Singida chungu kimoja Shirikisho

Wale wababe wa Yanga na Singida Big Stars katika Kombe la Shirikisho Afrika USM Alger, Future wamepangwa kundi A kwenye mashindano hayo yatakayotimua vumbi Novemba 26 pamoja na Super Sport Unied na Al Hilal ya Libya.

Kundi B ni; Zamalek SC, Sagrada Esperanca ya Angola, Abu Salim ya Libya na S.O.A.R ya Gunie.

Kundi C ni; Rivers United ya Nigeria, Club Africain ya Tunisia, Dreams FC, na APC Lubito ya Angola,

Huku kundi D inaongozwa na mabingwa mara mbili Kombe la Shirikisho Afrika RS Berkane, Diables Noirs ya Congo, Stade Malien ya Mali na Sekhukhune United za Afrika Kusini.