Simba yaipasua Azam, Steve Barker aendeleza rekodi yake SIMBA leo Septemba 16, 2026 imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC katika pambano la Mzizima Dabi lililopigwa Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam, huku kocha Msauzi, Steve Barker...