Tunahitaji jezi mpya za AFCON 2027 KUNATAKIWA uwepo wa jezi mpya za Taifa Stars kwa ajili ya fainali AFCON mwakani zitakazofanyika hapa nchini na uzinduzi wake unatakiwa uwe mwaka huu.