Hello

Your subscription is almost coming to an end. Don’t miss out on the great content on Nation.Africa

Ready to continue your informative journey with us?

Hello

Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.

Reclaim your full access. Click below to renew.

Phiri bado aipasua Simba

Muktasari:

  • Katikati ya wiki, Mwanaspoti lilipenyezewa taarifa kwamba Phiri ameamua kuandika barua ya kuomba kuondoka kla-buni hapo kutokana na kukosa nafasi ya kucheza katika kikosi cha kwanza, jambo linalomnyima furaha, japo mabosi wa klabu hiyo wanafanya siri kubwa, lakini taarifa za ndani zinasema mabosi hao wanahaha kumzuia.